BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOM IS OUT AMUCTA

          Baada ya kuhangaika kwa muda  mrefu hatimaye wanafunzi wa AMUCTA wapata unafuu wa maisha baada ya kupokea taarifa kutoka kwa waziri wa Fedha kuwa fedha za Field zimeshatoka na hivyo watu wakaangalie kwenye account zao kwani tayari fedha za Field zimeshatoka. hata hivyo baadhi ya wanafunzi waliingiwa na wasiwasi kuwa huenda fedha hazijatoka maana wakati wanangalia kwenye simbanking zao zikaonesha kuwa bado hwajawekewa hela. lakini ukweli ni kwamba tayari wengine wameshapata na wengine bado wanawekewa hela zao. hivyo kama bado hujapata hela yako basi jua mpaka kufikia usiku huu tayari utakuwa umepata hela zote




FIELD NJEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item