CHEZEA KING MAJUTO WEWEEEEEEE HIZI NDIO MALI ANAZOMILIKI MZEE MAJUTO "KING"..NYUMBA NA MAGARI



Hiyo Noah ya kulia anaitumia kutembelea tu ila hizi za kushoto ni daladala za abiria.
daladala ya kwanza
daladala ya pili
daladala ya tatu.
.
Hii nyumba ni yake na ndimo anamoishi, hana nyumba Dar es salaam.
.
.
.
.
Mtaa anaoishi.
.
Hii ni sehemu ya familia yake kasoro huyo alievaa nguo ya zambarao, ana watoto saba ambapo wa kwanza amezaliwa miaka ya 70 na huyo mama ndio mke wake pekee

Related

KING MAJUTO 6848112842664250203

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item