HALMASHAURI KUU YA CCM YATOA TAMKO LA VURUGU ZA MTWARA

Hili hapa chini ndio tamko la HALMASHAURI KUU YA CCM  katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi-Nape Nnauye TAMKO LA HALMASH...

BREAKING NEWZZZZ... MAJINA RASMI 7 YA WAJUMBE WA CC BARA.

1. Al Haj Adam Kimbisa. 2. Mstahiki Jerry Slaa. 3. Prof Anne Tibaijuka. 4. Pindi Chana. 5. William Lukuvi. ...

sherehe za kuzaliwa kwa ccm kutimiza miaka 36 mkoa wa tabora zafanyika wilaya ya nzega

hizi hapa chini ni baadhi ya picha za matukio ambayo yanaonyesha sherehe zilivyofana    mwenyekiti wa UVCCM mkoa w...

KINANA NA WAJYMBE WA SEKRETARIETI YOTE YA CCM WAPOKELEWA KWA SHANGWE USIKU HUU STESHENI TA MOROGORO AMBAPO WANAENDA KIGOMA KWA TREN

Dk Asha Rose Migiro ambaye ni mjumbe wa NEC akiwasalimia wanachama wa chama cha mapinduzi mkoa wa morogoro waliojitokeza usiku huu...

KINANA NA SEKRETARIETI YOTE YA CCM WAENDA KIGOMA KWA TRENI

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipanda treni kishujaa huku mamia ya Watu wakishuhudia na kumshangilia sana. Katibu Mkuu w...

MJUMBE WA NEC UVCCM TAIFA NA MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA UVCCM NA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI MKOANI MBEYA.

Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili. Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa a...

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WANA CCM SAUT TABORA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu mkoani Tabora waliomtembelea Ikulu ndogo mkoani humo usiku wa ku...

ZIARA YA JK TABORA: NASSOR WAZAMBI ATOA MAWAZO KUPITIA FACEBOOK

Nassor Wazambi JK aanza ziara ya siku 4 mkoani Tabora. Leo kaanzia Igunga na atatembelea wilaya zote 7 kukagua miradi ya maendele...

UVCCM SAUT TABORA SERENGETI TOUR BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA TAR.22-26,DEC, 2012

NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA- KWA NJE KABURI LA BABA WA TAIFA- WANA UVCCM WAKILIZUNGUKA NA KUWEKA MASHADA YA MAUA

Hizi ndizo salam za Mwaka mpya kutoka kwa Mh Lowassa

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ameuanza Mwaka Mpya wa 2013 kwa kuwataka Watanzania kufanya maamuzi magumu kwenye kila chang...

POLITICAL NEWS: J.K ni Jembe. ## MAKALA FUPI KUTOKA KWA MJENGA WA...

 Haina ubishi kuwa J. Kikwete ni rais pekee ametawala kwa mizengwe lakini namna anavyoipangua mizengwe hiyo, anastahili pongezi kubwa. Ik...

POLITICAL NEWS: KIKWETE MWENYEKITI TENA CCM, MANGULA, DK, SHEIN MA...

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Makamu wenyeviti wa...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index