OKWI STOP KICHEZEA YANGA

Huku Ligi ya kandanda nchini Tanzania ikitarajia kuanza mzunguko wake wa Pili Mwishoni mwa juma hili, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...

AFRICAN RANGERS YATWA UBINGWA LA LATI CUP- MAGUGU, YAICHAPA MASHINENI 2-1

Timu ya Soka ya African Rangers leo imeifumua bila huruma timu babe katika kata ya Magugu  Mashineni Fc, Katika michuano hiyo iliyoandaliwa ...

BLATTER AFYATA MKIA KWA RONALDO, CR7 AKIPIGA HAT TRICK MBELE YA IBRA CADABRA

Kama vile ni kulamba matapishi yake, Rais wa shirikisho la Soka duniani Sepp Blatter jana Alijikuta akikiri kuwa Ronaldo ni bora. Alitamka m...

ENGLAND YAUA 9-0

Timu ya vijana U21 ya Uingereza imeua timu ya taifa ya Marino kwa jumla ya magoli 9-0 na katika hali ya kushangaza ni kwamba hakuna hata Hat...

BODABODA FC YAIBAMIZA MAPEA FC: MAGUGU

Katika michuano ya kumtafuta Bingwa wa kombe la Mbuzi hapa Magugu Manyara, leo kumeshuhudiwa kimbembe kati ya Bodaboda Fc na Mapea. Katika m...

BREAKING NEWZ: ADNAN JANUZAJ AJIFUNGA MAN UNITED, ASAINI MIAKA MITANO KUKIPIGA OLD TRAFORD

Chipukizi machachari wa Manchester United, Adnan Januzaj ambaye  uwezo wa kusakata kambumbu ulizishitua timu kubwa ulaya, na wakaanza kummez...

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAPANDA MLIMA KILIMAJARO LEO.

Wachezaji wa zamani na malegend wa timu yenye mashabiki wengi duniani Bob Robson, na Kevin Moran leo wamepanda mlima Mrefu kuliko yote Afrik...

UNANIDANGANYA WENGER :- JOEL CHUKU VERMINATOR

Mti Bila Mzizi Utakua Vipi Miaka Nane Bila Kombe Na vile Tulivyokua Tunajiongopea Wenyewe Kila Siku...... Tulikua na Tony Adams wetu, Marti...

ADNAN JANUZAJI NI HABARI YA MUJINI, AIBEBA MAN UTD, AIU SUNDERLAND, APIGA MBILI PEKEE YAKE, STAILI YA UCHEZAJI YAWAKOSHA WENGI

Chipukizi wa Manchester United, Adnan Januzaj amekuwa habari ya mujini kutokana na Kiwango chake usiku wa leo, Adnan ameifungia timu yake ya...

MATOKEO YOTE YA LIGI YA MABINGWA ULAYA HAYA HAPA YA JUMANNE NA JUMATANO

HIVI NDIVYO MISIMAMO YA LIGI BARANI ULAYA

MANCHESTER UNITED YAUA LIGI YA MABINGWA, ROONEY APIGA GOLI LA 200 AKIWA MAN UNITED, MOYES KAMA FERGUSON

Manchester United Jana ilia anza vizuri michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE baada ya kuipiga BAYERN LEVERKUSEN bila hururma timu  kwa jumla y...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index