HII NDIO MWANALIZOMBE STUDIO YA PROFESOR JAY

"MWANALIZOMBE STUDIO" Mwanalizombe Studios Ni Recording Lebel Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio ipo msasani na Ameam...

OMMY DIMPOZ ATUA MAREKANI TAYARI KWA SHOW ZA NGUVU- TEAM TUPOGO

VIP TABLES PRICE CALL 301-661-6207 KAMA LOUNGE 11472 CHERRY HILL RD BELTSVILLE,MD,20705

LADY GAGA ATISHA KWA MKWANJA DUNIANI KWA WASANII WALIO CHINI YA UMRI WA MIAKA 30

Kwa mujibu wa gazeti la Forbes, Lady Gaga ndio msanii mwenye mkwanja mrefu zaidi kushinda wasanii wote walio chini ya umri wa miaka 30, pamo...

VIDEO MPYA YA LADY JAY DEE _ YAHAYA

Mwanamziki nguli wa bongo fleva nchini Lady Jay Dee, juzi Ijumaa aliizundia video mpya ya wimbo unaotamba sana kwenye vituo vya station za r...

DIAMOND ATOA DARASA KWA WAISLAM

Mwanamziki nyota wa bongo fleva nchini Diamond platnumz leo ametoa darasa kwa vijana wa kiislamu juu ya upakaji rangi nywele. Diamond alitoa...

HAYA SASA MSIMU MPAYA EBSS 2013 WAANZA RASMI, WASANII JITOKEZENI

Msimu wa EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013 unaanza rasmi, taarifa kupitia page ya Facebook ya EBSS leo hii wameandika juu jinsi ya kujisajili na E...

DIMPOZ AWAOMBA RADHI MASHABIKI NA WATANZANIA KWA KUMKASHIFU MAREHEM NGWAIR

Kupitia Account ya Facebook msanii wa bongo fleva na mshindi wa tuzo tatu za Kili Tanzania Music Awards 2013 Ommy Dimpozi amewaomba watanzan...

HIVI NDIVYO SHOW YA LADY JAY DEE #TEAM ANACONDA INAVYOENDELEA PALE NYUMBANI LOUNGE

Hizi ni Baadhi ya picha za show hiyo.

HII NDIO STYLE MPYA YA RIAHANA MABINTI WA KIBONGO MTAWEZA????

Baada ya Rihanna kutoka na style nyingi sana za nywele sasa ya leo ni kali maana katoka na style mpya ya nywele pamoja na vazi lake mpya la ...

USIKILIZE WIMBO MPYA WA AY FT FID Q--JIPE SHAVU

KAMA HUJUI BASI JUA KUWA :MAGUFULI NA MSONDO NGOMA NI DAMU DAMU

 Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizicharaza Tumba za bendi ya Msondo Ngoma, wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitoa bu...

PICHA ZA SHOW YA ALI KIBA NA OMMY DIMPOZ LONDON

PICHA KWA HISANI YA MATUKIO UK BLOG

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index