Page

Monday, January 7, 2013

RAISI KIKWETE AITEKA IGUNGA LEO

Rais Jakaay Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA