Haya yote niliyataka mwenyewe!! Sasa nikaanza kuhisi kuwa Davis hakuwa mtu mzuri kwangu!!
Davis ni MCHAWI!!!
Naenda kufanya mapenzi na mchawi!!
Ghafla nikaijiwa na kumbukumbuku za chapa ya shetani 666,
niulipokumbuka hili nikakumbuka na mshahara wangu ulikuwa una hizi
namba, hata simu ya Osmani nayo ina 666, Davis aliwahi kunitumia nauli
nayo ilikuwa na 666 na sasa nipo katika chumba namba 66 namsubiri huyu
mfalme wa 666
Hapana! Hapana! Niliipinga nafsi yangu. Na sasa nilikuwa nimeamua kumkimbia mchawi huyu. Kuikimbia chapa ya shetani!!!
Nikiwa najiandaa kukimbia
.Mlango ukafunguliwa!!!
NANI AMEUFUNGUA MLANGO!!!
JE ISABELA ATAIKIMBIA CHAPA HII 666.
Kama akiikimbia je ndo anaruhusu MAMA YAKE afe!! NANI KAMA MAMA???
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA