Page

Saturday, December 7, 2013

PICHA YA WIKI::: TUNA MWANGAZIA NELSON MANDELA NA MANENO YA BUSARA ALIYOWAHI KUYANENA JUU YA KIFO CHAKE

Wiki hii Raisi wa zamani na mkombozi wa Afrika Kusini Nelson Mandela alifariki Dunia na kuacha simanzi kubwa kwa wafrika. Mungu ailaze Roho yake Pema peponi. Anen

Leo tunakuwekea picha yake pamoja na maneno yake aliyowahi kusema juu ya kifo kwa mtu aliyeipigania nchi yake.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA