Page

Friday, December 6, 2013

R.I.P NELSON MANDELA

Mpiganaji na mkombozi wa South Afrika Nelson Mandela, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua muda mrefu. Kiongozi huyo amefariki akiwa na Miaka 95. Daima kwa mawazo ma uimara wake, tutamuenzi kwa ushujaa wake.

We Will always remember you Madiba.

REST IN PEACE THE HERO

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA