Page

Wednesday, January 22, 2014

BREAKING NEWZZ:: MBUNGE WA CHALINZE (CCM) AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba; Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa
amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Ofisi inaendelea na utaratibu wa Mazishi.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA