Page

Thursday, June 11, 2015

MUCOBA WATWAAUBINGWA WA MUNGANO CU[P MUFINDI

>YAICHAPA DODOMA ACADEMY 2-0
>WAWEKA KIBINDONI MILIONI 5

MUCOBA FC iliyo chini ya benki ya wananchi wa Mufindi (Mufindi Community Bank),imetwaa taji la muungagano cupkwa luifunga Dodoma Academy goli 2-0. magoli yote mawili yalifungwa mnamo kipindi cha kwanza. licha ya vijana hao kuonesha kiwango kizuri cha kusakata kabumbu walishindwa kufurukuta mbele mbele ya MUCOBA FC na kukubal;i kipigo hicho cha goli 2-0 mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa mh. Mboni Mhita mkuu wa wilaya ya Mufindi.

mabingwa hao walikabidhiwa Meadali, Jezi Kombe na Fedha kiasi cha Tsh. 5 milioni. huku mshindi wa pili alijinyakulia Tsh. 2.5 milioni na mchezaji bora ambaye alikuwa ni nahodha wa timu ya Dodoma Academy alijishindia Ths. 500,000/-

mgeni rasmi aliwaasa vijana kushiriki michezo huku akiwataka waandaji wa michuano hiyo kuhakikkisha vijana  vijana waliotwaa ubingwa kwenda Zanzibar kucheza na wenzao ili kudumisha Muungano.

hapa chini ni baadhi ya picha za matukio ya mechi hiyo
 Mgeni rasmi akiwa na mabingwa
 Mgeni rasmi akihutubia kwenye fainali hiyo


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA