
Hiyo Noah ya kulia anaitumia kutembelea tu ila hizi za kushoto ni daladala za abiria.

daladala ya kwanza

daladala ya pili

daladala ya tatu.

.

Hii nyumba ni yake na ndimo anamoishi, hana nyumba Dar es salaam.

.

.

.

.

Mtaa anaoishi.

.

Hii ni sehemu ya familia yake kasoro huyo alievaa nguo ya zambarao, ana
watoto saba ambapo wa kwanza amezaliwa miaka ya 70 na huyo mama ndio mke
wake pekee
Post a Comment