IBRAHIMOVIC ATUA RASMI MAN UNITED

Nyota wa soka dunia Ibra Cadabra leo ameijulisha rasmi dunia kuwa anaelekea MAN UNITED. amethibitisha kauli hii kwenye ukurasa wake wa Insta...

MAN UNITED WARUDI MATAWI YA JUU, SASA NDIYO KLABU 'TAJIRI' ZAIDI DUNIANI

KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye uli...

RONALDO AENDELEA KUNG'ARA ULAYA, ROBBEN, ROONEY, BALE BADO WAMO

Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amekuwa mchezaji anayeuzika zaidi kwa wale wanaotokea barani Ulaya. Ronaldo amewapiku wachezaji wengin...

MUCOBA WATWAAUBINGWA WA MUNGANO CU[P MUFINDI

>YAICHAPA DODOMA ACADEMY 2-0 >WAWEKA KIBINDONI MILIONI 5 MUCOBA FC iliyo chini ya benki ya wananchi wa Mufindi (Mufindi Community B...

YANGA, KCCA NA AZAM FC OUT MAPINDUZI

Vilabu vya Yanga KCCA ya Uganda na Azam zimeondolewa kwenye michuano ya mapinduzi cup inayoendelea visiwani Zanzibar katika Uwanja wa Amani....

MWANASPOTI::::KOPUNOVIC AIBADILISHA SIMBA SASA INA KASI, NGUVU

SIMBA imebadilika kidogo na sasa Kocha mpya Goran Kopunovic anataka wachezaji wake wacheze soka la kasi huku wakizuia kwa umakini mkub...

TORRES AREJEA NYUMBANI ATLETICO MADRID

Mshambuliaji Fernando Torres amerejea rasmi leo kwenye klabu yake ya zamni ya Atletico Madrid ya nchini Hispania,Torres aliondoka miaka sab...

MANCHESTER UNITED YAIUA YEOVIL TOWN, DI MARIA NA HERRERA WAKING'ARA

MAN UNITED jana iling'ara mbele ya wenyeji wao YEOVIL baada ya kuwalaza wenyeji hao magoli 2-0 yaliowekwa kimiani na Ader Herrera na Di ...

BARCELONA NA MADRID ZADUNDWA LALIGA

Baada ya michezo zadi ya 22 ya michuano yote kutofngwa, jana Real Madrid walijikuta wakiangukia pua mbele ya Valencia bbada ya kukubali kipi...

TIMU ZENYE MAJINA MAKUBWA ZAAGA KOMBE LA DUNIA

Kombe la dunia la mwaka huu ni la aina yake ambapo vigogo wa soka duniani ndio wamekuwa wa kwanza kutolewa kwenye mashindano haya. kutoka u...

SUAREZ KUFUNGIWA MECHI 24 AU MIAKA MIWILI KWA KUMNG'ATA CHIELLIN

Shirikisho la soka duniani limeanzisha uchunguzi dhidi ya mchezaji wa Uruguay Luis Suarez, baada ya kuonekana akimng’ata mchezaji wa Italia,...

FUATILIA LIVE MECHI YA CHELSEA Vs ARSENAL HAPA, MPAKA SASA CHELSEA 4-0 ARSENAL

Live streaming video by Ustream

HUU NDIO UJUMBE WA MATA KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

HUU NDIO UJUMBE WA JUAN MATA KWA MASHABIKI WA MANCHESTER  UNITED Hi everyone! As you know, this is my first post as a Manchester Un...

MATA MCHEZAJI RASMI WA MAN UNITED

Baada uvumi wa karibia siku sita juu ya Mata kutua OTA, hatimaye jana uvumi umekwisha na Mata Katua Rasmi United, angalia Picha hizi hapa ...

BARUA YA JUAN MATA KWA MASHABIKI WA CHELSEA

Hi everyone, As you can imagine this is a very important day in my life, and with these lines I would like to express the memories and emot...

OKWI STOP KICHEZEA YANGA

Huku Ligi ya kandanda nchini Tanzania ikitarajia kuanza mzunguko wake wa Pili Mwishoni mwa juma hili, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...

CRISTIANO RONALDO NDIE MCHEZAJI BORA WA DUNIA MWAKA 2013

Hii ni mara ya pili kwa Ronaldo kutwa tuzo hiyo ya heshima zaidi duniani. Mara ya kwanza alitwaa mwaka 2008 akiwa na Manchester United na le...

AFRICAN RANGERS YATWA UBINGWA LA LATI CUP- MAGUGU, YAICHAPA MASHINENI 2-1

Timu ya Soka ya African Rangers leo imeifumua bila huruma timu babe katika kata ya Magugu  Mashineni Fc, Katika michuano hiyo iliyoandaliwa ...

BLATTER AFYATA MKIA KWA RONALDO, CR7 AKIPIGA HAT TRICK MBELE YA IBRA CADABRA

Kama vile ni kulamba matapishi yake, Rais wa shirikisho la Soka duniani Sepp Blatter jana Alijikuta akikiri kuwa Ronaldo ni bora. Alitamka m...

ENGLAND YAUA 9-0

Timu ya vijana U21 ya Uingereza imeua timu ya taifa ya Marino kwa jumla ya magoli 9-0 na katika hali ya kushangaza ni kwamba hakuna hata Hat...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index