BLATTER AFYATA MKIA KWA RONALDO, CR7 AKIPIGA HAT TRICK MBELE YA IBRA CADABRA

Kama vile ni kulamba matapishi yake, Rais wa shirikisho la Soka duniani Sepp Blatter jana Alijikuta akikiri kuwa Ronaldo ni bora. Alitamka maneno hayo wakati anaipongeza Ureno kuwa timu ya 29 kufuzu kucheza kombe la dunia. Katika mchezo wa jana Ronaldo alifunga Hat- trick na kuiwezesha kutinga Brazil dhidi ya timu ngumu ya Sweden chini ya Ibra cadabra aliyefunga goli 2 jana. Mchezo huo uliisha kwa Ureno kushinda goli 3-2 na huku mchezo wa kwanza Ureno ilishinda goli 1-0 goli lililowekwa kwa ustadi mkubwa na Ronaldo na kufanya matokeo ya jumla kuwa 4-2

Huuu ndio ujumbe alioandika Blatter kwenye account yake ya twitter,

Related

Sports 8109777342965197101

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item