MIN BUZZ YATUA BABATI, KUKAA SIKU TATU

Crew ya Min Buzz inayoongozwa na Kijo na Bi Kiroboti toka Jana Jumatatu imetua mkoani Manyara hususani Babati Mjini. Akizungumza na MeNaco....

YUSUPH BAKHRESA AKUTWA NA GARI YA MMILIKI WA MANCHESTER CITY

Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya...

AJALI MBAYA YA GARI YATOKEO DAR

AJALI hii imetokea leo maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar es Salaam baada ya dereva wa gari aina ya Toyota Mark II lenye namba za usajili T382 ...

UVCCM SAUT TABORA KUFANYA MAHAFALI YAO TAREHE 17/10/2013

Shirikisho la wanachama wa Chama cha Mapinduzi ( UVCCM SAUT TABORA)  limeandaa mahafali yao ya kuwapongeza wanachama wenzao wanaohitimu maso...

DIAMOND ATOA DARASA KWA WAISLAM

Mwanamziki nyota wa bongo fleva nchini Diamond platnumz leo ametoa darasa kwa vijana wa kiislamu juu ya upakaji rangi nywele. Diamond alitoa...

WALIMU WALALA JIKONI -IGUNGA

Walimu walala jikoni kwa miaka mitatu! KATIKA hali ya kusikitisha, walimu wa Shule ya Msingi Iyogelo iliyoko katika kata ya Kining’inil...

MANCHESTER UNITED WAMUAGA SIR ALEX FERSGUSON, WASHEHEREKEA UBINGWA NA MBONGO NDANI

 MBONGO NAYE ALIKUWEPO KUMWAGA

SIR ALEX FERGUSON ATANGAZA KUSTAAFU UKOCHA

Kocha wa Manchester United ametangaza leo kuwa ameachia ngazi na mrithi wake kutangazwa muda si mrefu Wengi wanaopigiwa upatu ni pamoja na ...

PICHA 20 ZA MANCHESTER UNITED BAADA YA KUTWAA UBINGWA

>> ROBIN VAN PERSI APIGA HAT TRICK >> JEZI NO.20 YATWAA KOMBE LA 20     ...

HIVI NDIVYO MAN UTD ILIVYOUAWA OT JANA NA MAN CITY

MSHAMBULIAJI Sergio Kun Aguero amewaumiza Manchester United na kuchelewesha sherehe zao Mashetani hao Wekundu kushangilia taji la ubingwa...

AJALI MBAYA::: DARAJA LA MTO WAMI,

. Ripoti ya mtangazaji wa Radio One na ITV Reuben Mchome kupitia mchomeblog.com imeRIPOTI kwamba ajali hii ilitokea Mto Wami b...

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

index