DIAMOND ATOA DARASA KWA WAISLAM

Mwanamziki nyota wa bongo fleva nchini Diamond platnumz leo ametoa darasa kwa vijana wa kiislamu juu ya upakaji rangi nywele. Diamond alitoa ushauri huo kupitia account yake ya Instagram.

" diamondplatnumz Tafadhari
kama na Wewe uliweka hii rangi
kwenye nywele zako hakikisha
unaitoa maana si vyema kuwanayo
katika mfungo huu wa mwezi
mtukufu ramadhani..."

Tunawatakia mfungo mwema waislamu wote.

Related

music 3327049308953980904

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item