MEMBE AJIUNGA ACT WAZALENDO; AWATAKA VYAMA VYA UPINZANI KUUNGANA KWENYE UCHAGUZI



Bernard kamilius Membe, leo tarehe 16,07,2020 amewahutubia wanachama wa ACT WAZALENDO, amelitangazia taifa kuwa yeye ni Rasmi ni mwanachama wa ACT WAZALENDO. akiwahutubia wanachama wa ACT na kuwapa rai kuwa kama wanataka kumuondoa magufuli madarakani basi ni sharti waungane ili waweze kufika Magogoni.

Pia Membe amesema kuwa hawezi kuwa Lowasa ambaye alihama baadaye alirudi CCM, "nilifukuzwa kwa Aibu hivyo sina pakurudi ila nimefika hapa rasmi, na kamwe siwezi kuwa tena sehemu ya CCM. Kama yeye alirudi basi mimi sirudi." Alisema Membe.

hata hivyo Membe amesema pia kuwa anajivunia kujiunga na ACT wazalendo, na anavutiwa sana na viongozi wa ACT akiwemo Zitto na Seif. hata hivyo amewatakia kila la heri kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka Huu 2020.

Related

SIASA 4936699674508080870

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item