AJALI MBAYA::: DARAJA LA MTO WAMI,

Mpaka lori hilo linaondolewa kwenye eneo la ajali, maelfu ya abiria walikwama kwa muda wa zaidi ya saa sita ambapo kwa pande zote mbili watu walilazimika kusubiri na foleni ilikua kubwa sana pia.
Mwaka jana kulikua na taarifa ya lori la mkaa kugonga kuta za mto huo na kuzama huku likiwa na kondakta wake pamoja na dereva waliodaiwa kufariki.
Post a Comment