MIN BUZZ YATUA BABATI, KUKAA SIKU TATU

Crew ya Min Buzz inayoongozwa na Kijo na Bi Kiroboti toka Jana Jumatatu imetua mkoani Manyara hususani Babati Mjini.

Akizungumza na MeNaco.com ndugu KIJO ambaye pia ndio mwendesha kipindi cha Mini Buzz alisema kuwa Timu nzima ya Min Buzz itakuwa BABATI mpaka jumatano wiki hii, na itazungumzia mada mbalimbali ikiwemo Ukosefu wa maji safi Na Salama, Ajira na mada zingine nyingi na amewahimiza wananchi wa BABATI kupanda Min Buzz na kutoa hoja zao.

Timu hiyo imefikia hotel ya TRINIDAD B, iliyopo BABATI MJINI

Related

MIN BUZZ 2232260292447362803

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item