AJALI MBAYA YA GARI YATOKEO DAR

AJALI hii imetokea leo maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar es Salaam baada ya dereva wa gari aina ya Toyota Mark II lenye namba za usajili T382 APA anayedaiwa kuwa alikuwa amelewa kuacha njia na kutumbukia mtaroni. Katika ajali hiyo, dereva amejeruhiwa na gari kuharibika kama linavyoonekana pichani.

Related

MATUKIO 2560615642505023640

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item