HII NDIO MIZANI YA MAKUYUNI INAYOTUMIA GARI KUPIMA UZITO WA MAGARI-BARABARA YA ARUSHA SINGIDA MWANZA

Bernard kamilius Membe, leo tarehe 16,07,2020 amewahutubia wanachama wa ACT WAZALENDO, amelitangazia taifa kuwa yeye ni Rasmi ni mwanachama wa ACT WAZALENDO. akiwahutubia wanachama wa ACT na kuwap...
KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani ...
Kweli kwa mfumo huu ni ngumu kuzuia uharibifu wa miundombinu ya barabara inayotoka na ubovu wa Mizani inayotumika kupima uzito wa gari husika. Ajali haziwezi kukwepeka kama hatua za haraka hazitachukuliwa. Angalia hapa chini ujionee mizani inayotumia gari kupima magari.
Post a Comment