HII NDIO MWANALIZOMBE STUDIO YA PROFESOR JAY


"MWANALIZOMBE STUDIO"
Mwanalizombe Studios Ni Recording Lebel
Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio ipo
msasani na Ameamua kuipa Jina la
Mwanalizomba kwasababu Jay Ni mtu wa
Ruvuma na Mwanalizombe maana yake ni
Mwana Ruvuma na kufanya hivyo ameonyesha
mapenzi ya mkoa wake wa Ruvuma. Producer
kwenye studio hii ni Duke Touchez.
Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi
gani cha fedha kwenye studio hio ila fahamu
kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati tofauti na ni
vifaa vya hali ya juu sana.

Related

Profesa Jay 462565188206295056

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item