BIBI WA MIAKA 99 APATA DIPLOMA


Bibi mwenye miaka 99 aliyeacha shule akiwa
high school mwaka 1932 hatimaye amemaliza
diploma yake.
Audrey Crabtree alikuwa amezungukwa na
familia yake na marafiki zake siku ya jumatatu
wakati shule ya jamii iitwayo Waterloo
wakimpongeza kwa kufaulu sana kwenye
diploma yake wakati wa kikao cha elimu cha
bodi.
Report zinasema kuwa Crabtree aliacha shule
akiwa senior high school mwaka 1932 kutokana
na majeraha na kumhudumia bibi yake.Baada ya
hapo alienda kuendesha biashara zake kwa
kama miaka 30 hivi
Kwenye kikao Crabtree alipata diploma, nakala
ya ripoti yake ya mwisho na ya kumpongeza
kwa kuwa mwanafunzi bora hapo Waterloo East
High School. Pia alipata zaidi ya card 100
handmade za kumpongeza kutoka kwa
wanafunzi wa middle school.

Related

Education 8487254550041333019

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item