ZITTO KABWE: MANENO YA NEY WA MITEGO NI SANAA

BAADA YA SALAM ZAO YA NEY
WA MITEGO..!!

Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo Star
Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu
Salamu za Ney wa Mitego na jana ilikuwa zamu
ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Kwake mbunge huyo, Ney ni msanii wa pili wa
Hip Hop anayemkubali zaidi Tanzania baada ya
Roma na kwamba anakiheshimu kile
alichokisema kwenye wimbo huo kwakuwa ni
kazi ya sanaa.

Tazama tweets hizi.

CarolNdosi @CarolNdosi
I wonder if @zittokabwe ever listens to hip
hop..local or international..
“@CarolNdosi : I wonder if @zittokabwe ever
listens to hip hop..local or international..” I do.
Roma is my favourite followed by Ney
@zittokabwe @CarolNdosi surprising, after
everything Nay Wamitego said in his new truck
Salam zao ft Neiba Hon: Zitto still ranks him his
n2
Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe
Abdallah Moh'd Sadiq @SadiqAbdallah
Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe
@SadiqAbdallah @CarolNdosi Ney amefanya
sanaa. Nachukua maneno yake kama
changamoto. Ni kazi ya Sanaa ninayoithamini
sana

Related

Celebrities 5249429452130953645

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item