DAR INADEKEZWA: ZITTO KABWE

Naibu katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge Wa Kigoma Zitto Zuberi Kabwe amesema Jiji la Dar linadekezwa kwa kutengewa Bajeti kubwa ikidhaniwa ndio inachangia 80% ya pato la taifa. Kwa mujibu wa tweete zake, Zitto anaona Dar inapendelewa kupewa 60% ya bajeti
"@zittokabwe: “@awafat: @zittokabwe which is the highest contributor to this regional GDP?” Dar 18% followed by Mwanza 10% and Mbeya 8%. Dar isn't 80%!"
Post a Comment