ADNAN JANUZAJI NI HABARI YA MUJINI, AIBEBA MAN UTD, AIU SUNDERLAND, APIGA MBILI PEKEE YAKE, STAILI YA UCHEZAJI YAWAKOSHA WENGI

Chipukizi wa Manchester United, Adnan Januzaj amekuwa habari ya mujini kutokana na Kiwango chake usiku wa leo, Adnan ameifungia timu yake ya Manchester United mabao mawili yaliyotosha kuipa point tatu muhimu dhidi ya Sunderland wanaovuruta mkia wa ligi kuu ya uingereza.

Mpaka Half time Man United ilikuwa nyuma kwa goli moja. Kipindi cha pili Man walijikakamua na kusawazisha goli kupitia kwa Januzaji ambaye alifunga goli zuri sana. Sunderland wakiwa bado hawaelewi nini wa fanye, Luis nani alipiga shuti zito ambalo lilimparaza beki wa Sunderland na kumkuta Januzaj na kufunga goli Zuri sana. Na kufanya ubao usomeke 1-2. Hadi wa mchezo Sunderland 1-2 Manchester United.

Kwa matokeo hayo, Man United inapanda nafasi tatu juu kutoka nafasi ya 12 hadi ya 9 ikiwa na jumla ya point 10. Huku Sunderland wakisalia nafasi ya meisho wakiwa na point 1 tu.

Kwa ushindi huu, umepooza japo kiduchu dhidi ya matokeo mabaya ya timu.

JANUZAJ ana miaka 18 na siku 242. Huyu ndie Wonder kid Januzaj.

Related

Sports 3969621956732767986

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item