UVCCM SAUT TABORA KUFANYA MAHAFALI YAO TAREHE 17/10/2013

Shirikisho la wanachama wa Chama cha Mapinduzi ( UVCCM SAUT TABORA)  limeandaa mahafali yao ya kuwapongeza wanachama wenzao wanaohitimu masomo yao ya shahada ya kwanza chuo hapo. Akizungumza na MeNaco.com Mwenyekiti wa chama hicho tawi la SAUT TABORA ndugu MAPUNDA MAURICE, ambaye yupo mwaka wa pili alisema kuwa sherehe hizo zitafanyika mnamo tarehe 17.10.2013, na pia aliweka viwango vya michango kwa wakatakao shiriki sherehe hizo.
Kwa mujibu wa mapunda ni kwamba Wahitimu watachangia Tsh 8000/- na wanachama wengine watachangia 5000/-
Pia bwana mapunda kuwa michango yote itumwe kwa njia ya M-PESA kupitia no.0767460378 
MGENI RASMI
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mgeni rasmi kwenye sherehe hizo atakuwa Mh. William Ngeleja ( mb )

Related

UVCCM SAUT TABORA 3567842534959140781

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item