LADY GAGA ATISHA KWA MKWANJA DUNIANI KWA WASANII WALIO CHINI YA UMRI WA MIAKA 30

Kwa mujibu wa gazeti la Forbes, Lady Gaga ndio msanii mwenye mkwanja mrefu zaidi kushinda wasanii wote walio chini ya umri wa miaka 30, pamoja na msanii huyo kufanyiwa upasuaji wa paja lakini bado ameongoza kwa kuwa na pesa ndefu.  Mahesabu hayo yalipigwa kwa kuanzia June 2012 hadi June 2013,



hii hapa chini ni listi ya wasanii walioingia top 10

Rank Celebrity Name Age Amount Made
1  Lady Gaga  27  $80 Million
2  Justin Bieber  19  $58 Million
3  Taylor Swift  23  $55 Million
4  Calvin Harris  29  $46 Million
5  Rihanna  25  $43 Million
6  Katy Perry  28  $39 Million
7  Jennifer Lawrence  22  $26 Million
8  Adele 25  $25 Million
9  Kristen Stewart 23  $22 Million
10  Taylor Lautner 21  $22 Million

Related

music 8879587090966087248

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item