ENGLAND YAUA 9-0

Timu ya vijana U21 ya Uingereza imeua timu ya taifa ya Marino kwa jumla ya magoli 9-0 na katika hali ya kushangaza ni kwamba hakuna hata Hat trick katika magoli hayo. Ni wachezaji wawili tu waliofunga goli mbili kila mmoja ambao ni Sterling na Daniel ila wengine wote ni 1. England imeshinda hiyo mechi ni kwenye michuano ya kufuzu Euro U21. England na Marino wapo group moja

Hata hivyo timu ya wakubwa ya England imefungwa goli 1-0 dhidi ya Ujeruman.

Related

Sports 3290382229743327707

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item