BREAKING NEWS# MWANAFUNZI WA SAUT TABORA (AMUCTA)

Kwa habari zilizotufikia ni kwamba aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT tawi la Tabora na kuhitimu shahada yake ya kwanza ya elimu huku akichukua masoma ya Kiswahili na Literature amefariki dunia kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kufukiwa na kifusi cha udongo kwenye machimbo. Kwa taarifa kamili tutawajuza pindi zitakazotujia.

R.I.P JOSEPH

Related

VIFO 2192778928373537002

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item