YANGA, KCCA NA AZAM FC OUT MAPINDUZI

Vilabu vya Yanga KCCA ya Uganda na Azam zimeondolewa kwenye michuano ya mapinduzi cup inayoendelea visiwani Zanzibar katika Uwanja wa Amani. KCCA ya Uganda ndio ilikuwa ya kwanza kuondolewa kwenye michuano hiyo kwa changamoto za mikwaju ya penalt baada a kutoka suluhu ya bila kufangana na Polisi ya Zanziba. Baada ya KCCA ilifuata zamu ya Azam fc ambao nao walitolewa kwa changamoto ya mikwaju ya Penalt baada yalufungana goli 1-1 kwa muda wa kawida,. watu wa mwisho kutolewa walikuwa ni wanajangwani baada ya kukubali kipigo cha goli moja bila. goli lililofungwa na Janja wa JKU llitosha kuondoa Yanga kwenye mashindano hayo, 

sasa mechi za nusu fainali ni 

MTIBWA VS JKU

SIMBA VS POLISI

Related

OKWI STOP KICHEZEA YANGA

Huku Ligi ya kandanda nchini Tanzania ikitarajia kuanza mzunguko wake wa Pili Mwishoni mwa juma hili, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi ku...

YANGA HOI KWA MTIBWA>>>> ZATOKA SARE 1-1

Vinara wa Ligi kuu soka Tanzania Bara ambao pia ni Mabingwa wa Kombe la KAGAME Yanga SC leo jumamosi Feb 02,2013  imepunguzwa kasi  baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na ...

UNYAMA: Kiongozi Yanga alivyomfanyia mwandishi Uturuki-1

Kiongozi wa msafara wa Yanga Uturuki MICHAEL MOMBURI ACHA...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item