MAN UNITED WARUDI MATAWI YA JUU, SASA NDIYO KLABU 'TAJIRI' ZAIDI DUNIANI

KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani Bilioni 1.
Licha ya kumaliza msimu mwingine bila taji, United imezipiku timu tishio Ulaya kama bidhaa yenye thamani kubwa katika soka katika The Brand Finance Football 50, kwa mujibu wa taarifa ya leo.
Mashetani hao Wekundu kwa sasa wana thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani Bilioni 1.2, ambayo ni karibu ya zaidi ya dola Milioni 300 zaidi ya Bayern wanaoshika nafasi ya pili. Real Madrid, Manchester City na Chelsea wamo ndani ya tano bora. 

Related

RONALDO AENDELEA KUNG'ARA ULAYA, ROBBEN, ROONEY, BALE BADO WAMO

Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amekuwa mchezaji anayeuzika zaidi kwa wale wanaotokea barani Ulaya. Ronaldo amewapiku wachezaji wengine nyota kama Arjen Robben, Wayne Rooney na Gareth Bale ambao ...

MUCOBA WATWAAUBINGWA WA MUNGANO CU[P MUFINDI

>YAICHAPA DODOMA ACADEMY 2-0 >WAWEKA KIBINDONI MILIONI 5 MUCOBA FC iliyo chini ya benki ya wananchi wa Mufindi (Mufindi Community Bank),imetwaa taji la muungagano cupkwa luifunga Dodoma Academy...

YANGA, KCCA NA AZAM FC OUT MAPINDUZI

Vilabu vya Yanga KCCA ya Uganda na Azam zimeondolewa kwenye michuano ya mapinduzi cup inayoendelea visiwani Zanzibar katika Uwanja wa Amani. KCCA ya Uganda ndio ilikuwa ya kwanza kuondolewa kwenye mic...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item