RONALDO AENDELEA KUNG'ARA ULAYA, ROBBEN, ROONEY, BALE BADO WAMO

Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amekuwa mchezaji anayeuzika zaidi kwa wale wanaotokea barani Ulaya.


Ronaldo amewapiku wachezaji wengine nyota kama Arjen Robben, Wayne Rooney na Gareth Bale ambao pia wameingia 10 bora.

Matokeo kupitia mitandao kadhaa ya Ulaya inayohusika na mahesabu inaonyesha Ronaldo amepata kura kwa asilimia 77.46 kuonyesha yeye ni bora zaidi.

Pointi hizo zinamfanya awe bora zaidi ya wengine katika masuala ya malipo ya mshahara, wadhamini anaopata ana hata kujulikana kwa mashabiki wanaume na wanawake kwa dunia nzima.

Angalia takwimu katika picha mbalimbali, utaona kila mchezaji anaingiza kiasi gani, anajulikana vipi kwa wanaume na wanawake na zaidi.

Related

Sports 362157052297251291

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item