MUCOBA WATWAAUBINGWA WA MUNGANO CU[P MUFINDI

>YAICHAPA DODOMA ACADEMY 2-0
>WAWEKA KIBINDONI MILIONI 5

MUCOBA FC iliyo chini ya benki ya wananchi wa Mufindi (Mufindi Community Bank),imetwaa taji la muungagano cupkwa luifunga Dodoma Academy goli 2-0. magoli yote mawili yalifungwa mnamo kipindi cha kwanza. licha ya vijana hao kuonesha kiwango kizuri cha kusakata kabumbu walishindwa kufurukuta mbele mbele ya MUCOBA FC na kukubal;i kipigo hicho cha goli 2-0 mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa mh. Mboni Mhita mkuu wa wilaya ya Mufindi.

mabingwa hao walikabidhiwa Meadali, Jezi Kombe na Fedha kiasi cha Tsh. 5 milioni. huku mshindi wa pili alijinyakulia Tsh. 2.5 milioni na mchezaji bora ambaye alikuwa ni nahodha wa timu ya Dodoma Academy alijishindia Ths. 500,000/-

mgeni rasmi aliwaasa vijana kushiriki michezo huku akiwataka waandaji wa michuano hiyo kuhakikkisha vijana  vijana waliotwaa ubingwa kwenda Zanzibar kucheza na wenzao ili kudumisha Muungano.

hapa chini ni baadhi ya picha za matukio ya mechi hiyo
 Mgeni rasmi akiwa na mabingwa
 Mgeni rasmi akihutubia kwenye fainali hiyo


Related

GERRARD AITABIRIWA MAKUBWA MAN UTD NA DAVID MOYES

Kiingo wa Liverpool na England Steven Gerrard ameitabiria makubwa MAN UTD msimu ujao. Gerrard aliyasema hayo wakati akihojiwa na skysport, "Wamepata kocha mzuri ambaye amefanya vizuri na Everton, Moy...

HIGUAN KUTUA RASMI THE GUNNERS

Higuan kukamilisha uhamisho wake kwenda Arsenal baada ya The Gunners kupaa kwenda Madrid kwenda kukamilisha uhamisho wake, kwa mujibu wa goa.com tayari Arsenal wameshakubaliana na higuan Maslahi ...

THIAGO ALCANTARA NJIANI KUJIUNGA NA MACHESTER UNITED

Thiago 22, yuko katika hatua za mwisho za kujiunga na club ya Manchester United. Kiungo huyo mkabaji amekuwa akitolewa macho na timu hiyo ya Uingereza toka mwaka 2011 lakini ilikuwa ngumu kumng'oa Nou...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item