AFRICAN RANGERS YATWA UBINGWA LA LATI CUP- MAGUGU, YAICHAPA MASHINENI 2-1

Timu ya Soka ya African Rangers leo imeifumua bila huruma timu babe katika kata ya Magugu  Mashineni Fc, Katika michuano hiyo iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la LATI ( LOOK AFTER THEM INTERNATIONAL) kwa lengo la kuwaleta vijana pamoja,

Katika mechi hiyo timu ya mshineni ndio ilikuwa ya kwanza lililofungwa na Ndase kutoka katikati ya Uwanja ila refa msaidizi alilikataa na kudai kuwa kaotea, na goli la mwisho baada ya kukaa kwa muda wakiwa 1-1 lililofungwa na Seif liliwapa ubingwa African Rangers ya Matufa.

Mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini. Ila nafai yake ilichukuliwa na Diwani wa Kata ya Magugu baada ya mbunge kupata udhuru na kuondoka katikati ya mashindano.

Mshindi wa tatu alipata mpira, wa pili Jezi pair mbili, na wa kwanza kikombe.

Related

Sports 8523921272496988878

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item