BARCELONA NA MADRID ZADUNDWA LALIGA

Baada ya michezo zadi ya 22 ya michuano yote kutofngwa, jana Real Madrid walijikuta wakiangukia pua mbele ya Valencia bbada ya kukubali kipigo cha magoli 2-1. wakiwa ugenini Madrid ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa Ronaldo aliyefunga kwa njia ya penalty. hata hivyo Valencia walijikaza na kusawazisha na hatimaye kuongeza goli la pili na la ushindi.
Upande wa pili Barcelona ikiwa imeingia imejiamini kuwa itaibuka na ushindi mbele ya vijana  wa David Moyes walijikuta wakilala stesheni ya reli ya wanasociedad baada ya kukbali kipigo cha goli 1-0.

kwa matokeo hayo barceloana inaendelea kuwa nafasi ya pili chini ya Madrid japokuwa wapo pungufu mchezo mmoja

Related

Sports 2036941492763460574

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item