PICHA 6 ZA STUDIO MPYA YA CLOUDS FM!!

Hii ilikua siku ya uzinduzi wa kamanda mpya anaetoa kibali kwenye spika za kila mwanafamilia wa CLOUDS FM Dar es salaam, anaitwa 88.5
Hii studio ina sehemu ya kisasa ya kupumzikia, sehemu ya vinywaji pamoja na mitambo ya kisasa kabisa.
.
.
.
B12 na Geah Habib wakimsikiliza Mkuu wa vipindi Clouds Fm my bro Sebastian Maganga.
Unaweza kuisikiliza CLOUDS FM kupitia 88.5 ukiwa Morogoro, Singida ni 89.8, Mwanza 88.1, Shinyanga 87.5, Arusha 87.9, Moshi 87.9, Tanga 96.0, Dodoma 104.4, Mbeya 87.8, Mtwara 88.4, Pwani 88.4, Mara 98.6, Lindi 89.7, Masasi 88.5, Manyara 104.4, Iringa 92.9, Tabora 88.0, Kigoma 89.3 pia online kupitia
 
CHANZO: Millard  Ayo

Related

KOMBE LA FA CHELSEA NA MAN UNITED KURUDIANA APRIL 1

Baada ya kupambana katika uwanja wa OLD TRAFORD kati ya CHELSEA na MAN UNITED na kutoka sare ya goli 2-2 basi FA wamepanga mechi ya mafahali hawa wawili kurudiana mnamo tarehe 1, April mwaka ili kump...

BAADA KANGA MOKO YAJA STYLE MPYA YA T-SHIRT MOKO

>>>TISHETI NDEMBENDEMBE INAVYOACHIA CHUCHU ZA AKINADADA NJE NJE...NI HATARI   Hii inaitwa Wet T-shirt Competition msichana anamwagiwa maji akiwa amevaa t-shirt nyepesi ...

HIVI NDIVYO MAN UNITED ILIVYOTILEWA NA REAL MADRID KWENYE UEFA

Siamini....! Luis Nani wa Man U akisikitika kwa kushika kichwa baada ya kutolewa na refa kwa kadi nyekundu ya utata kufuatia kumpiga teke kwa bahati mbaya beki Arvalo Arbeloa ...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item