IGUNGA NI KAFUMU UBUNGE

https://menacotz.blogspot.com/2013/05/igunga-ni-kafumu.html?m=0
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya magharibi ilimuidhinisha Dr. Kafumu kuwa mbunge halali wa Igunga hapo jana. Baada ya ushindi huo Kafumu ameandaa nkutano mkubwa jumapili hii Igunga. Hongera Kafumu ila urudi ukawa wana Igunga bungeni
Post a Comment