MANCHESTER YATWAA TAJI LA KWANZA WAKIWA NA MOYES

https://menacotz.blogspot.com/2013/08/manchester-yatwaa-taji-la-kwanza-wakiwa.html?m=0
Kocha mpya wa Manchester United, David Moyes amesherehekea taji lake la kwanza akiwa na Timu yake mpya, Moyes ametwaa ngao ya hisani baada ya kuifunga Wigan kwa jumla ya goli 2-0 magoli yaliyowekwa kimiani na Robin Van Persie.
Moyes ametwaa ngao hiyo ndani ya siku 40 tangu kuanza kuinoa United.
Post a Comment