Page

Monday, January 5, 2015

MANCHESTER UNITED YAIUA YEOVIL TOWN, DI MARIA NA HERRERA WAKING'ARA

MAN UNITED jana iling'ara mbele ya wenyeji wao YEOVIL baada ya kuwalaza wenyeji hao magoli 2-0 yaliowekwa kimiani na Ader Herrera na Di Maria ambaye alitokea benchi. Baada ya mechi kocha wa Manchester United alisema kuwa alitegemea ugumu wa mechi hiyo maana kila timu nchiniUingereza inatamani kuifunga United. Kapteni wa Yeovil alisema anafurahi kucheza na timu ambayo wazazi wakena yeye mwenyewe ni shabiki wakubwa wa Man United.
 Ander Herrea akishangilia goli
 Herrera akipata maelekezo ya Kocha
 Di Maria akishangilia goli

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA