Page

Monday, January 5, 2015

TORRES AREJEA NYUMBANI ATLETICO MADRID

Mshambuliaji Fernando Torres amerejea rasmi leo kwenye klabu yake ya zamni ya Atletico Madrid ya nchini Hispania,Torres aliondoka miaka saba iliyopita kwa kujiunga na Liverpool ya England.
”Nimefurahi sana kurejea klabu yenye nafasi kwenye maisha yangu,niliondoka kwenye klabu hii kwenda kukuza kiwango changu,nafurahi kurejea tena Atletico ikiwa sasa inashindana na vilabu vikubwa ulimwenguni,nimerejea kushinda na mataji na klabu hii niipendayo”.
Hayo yalikuwa maneno ya Torres leo hii wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wake uliohudhuliwa na mashabiki zaidi ya 45,000 kwenye dimba la Vicente Calde


ron

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA