MAJINA YALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2012 HAWA HAPA

https://menacotz.blogspot.com/2012/03/majina-yaliochaguliwa-kujiunga-na.html
Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo yawekwa hadharani
Orodha hiyo imetangazwa jijini Dar es
salaam leo, ambapo idadi ya wasichana waliochaguliwa kwa nafasi hizo ni
9,378, waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya kidato
cha tano na masomo 11 ya vyuo vya ufundi.
Shule zilizopangiwa wanafunzi ni 201,
ambapo shule za wasichana pekee ni 61, huku shule 34 zikiwa za jinsia
zote mbili, wasichana na wavulana.
Idadi ya wanafunzi wavulana waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya ngazi hiyo, ni 22,138.
Post a Comment