WIGAN MABINGWA WA FA >> WAILIZA MAN CITY DAKIKA ZA MWISHO

Timu ya soka ya Wigan Athletics usikuu imetwaa ubingwa wa FA mbele ya timu ngumu ya Manchester City na kuwaacha Man City wakiwa hawaamini kilichotokea. Ilikuwa ni dakika ya 92 mpira wa kona uliopigwa na kuunganishwa na mfungaji wa goal hilo na kumwacha Hart asijue la kufanya. Kwa ushindi huo Wigan itacheza kombe la ufunguzi wa ligi a.k.a community shield.

Hongera Wigan

Related

FA 3636864928197484706

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item