HONGERENI ONESMO NA PRISCA KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA LEO

MeNaco.com inatoa pongezi kwa wanachuo wa chuo kikuu cha SAUT TABORA Bwana Onesmo na Bi Prisca ( mwaka wa tatu wote) kwa kuamua kufunga pingu za maisha leo hapa Chuoni.

Tunaamini ni maamuzi sahihi kuamua kuishi pamoja kwenye maisha ya ndoa. Hivyo tunawaombea kwa Mungu muwe na maisha ya uvumiliano, upendo, na amani. Mungu wetu wa Mbinguni atawashindia yote ya mbele yenu. Mtegeemeni Mungu kwa kila Jambo. Mungu amewafanya kuwa mwili mmoja msiruhusu shetani kupita katika maisha  yenu.

GOD BLESS YOUR MARRIAGE

MESHACK  JACKSON
CEO
MENACO MEDIA GROUP (MMG)

Related

Harusi 4827652148573960334

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item