REDS MISS NYAMAGANA AVULIWA TAJI

Kampuni ya Stoppers Entertainment,
imeweza kumvua taji mrembo
Diana Amimo na kumvisha
mshindi wa Pili Rosemary
Peter kuwa Redds Miss
Nyamagana 2013/14
Rosemary Peter, ni mshindi
wa pili katika shindano la
kumtafuta Redds Miss
Nyamagana 2013, shindano
lililofanyika tarehe 11/05/2013
katika ukumbi wa JB Belmont
Hotel jijini Mwanza.Alhamisi
ya tarehe 06/06/2013,
Rosemary peter amevishwa
taji la Redds Miss Nyamagana
2013, baada ya Diana Amimo
aliyekuwa mshindi wa taji hilo
kudaganya Uraia na umri
wake katika shindano hilo.
Udanganyifu huo
uligunduliwa na kuthibitishwa
na idara ya uhamiaji mkoa wa
Mwanza, baada ya maafisa
wake kumshikilia na kumuhoji
mrembo huyo, wiki moja mara
baada ya shindano hilo.
Kwa Mujibu wa kanuni na
vigezo vya mashindano ya
urembo hapa nchini, kuwa
Msichana lazima awe raia wa
Tanzania na mwenye umri wa
miaka 18 hadi 24.

Redds Miss Nyamagana
2013/14 Rosemary Peter katika
pozz, mara baada ya
kutawazwa rasmi kushika taji
hilo, katika hafla fupi
iliyofanyika katika hotel ya
New Mwanza ya kumvua
aliyekuwa akishikila taji hilo
Mrembo Diana Amimo baada
ya kudanganya Urai wake na
Umri.

Related

MISS TANZANIA 6356744973712524529

Post a Comment

1 comment

Anonymous said...

The only point on what lenders stress is that you
must have an everyday way to obtain income with minimum specified monthly earnings small loans online traditional lenders probably will not lend - the old brick
and mortar financial institutions probably won't be much aid in lending large loans to folks with a bad credit score.

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item