COLE: HII NDIO XI YANGU MAN UNITED

Mchezaji nguli wa zamani wa Manchester United, Andrew Cole Amekitaja kukosi chake cha Manchester United cha muda wote kupitia mtandao wa Manchester United. Kikosi hicho ni kama ifuatavyo
GK: Peter Schmeicel
RB: Gary Neville
CB: Jaap Stam
CB: Gary Pallister
LB: Denis Irwin
RM: David Beckham
CM: Roy Keane (captain)
CM: Paul Scholes
LM: Ryan Giggs
ST: Ruud Van N
ST: Eric Cantona
Post a Comment