KONGAMANO LA LUGHA LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MT. AUGUSTINO TAWI LA TABORA

MGENI RASMI: DR. OCHIENG ORWENJO (KENYATA UNIVERSITY-KENYA)

Kongamano la kielimu linalohusu matunizi ya lugha hususani hapa Tanzania linafanyika muda huu hapa chuoni na mada ambazo tayari zimewasilishwa ni pamoja na
LANGUAGE POLICY IN TANZANIA BY DR. TIBATEGEZA (SAUT)

LANGUAGE AND IDENTITY OF THE EAST AFRICA BY MR. ONG'ANG'A (SAUT)

muda huu ni wa maswali na Majibu (majadiliano)

Mada ijayo ni LUGHA YA KUFUNDISHIA KATIKA MUKTADHA WA TANZANIA

Related

WALIMU WALALA JIKONI -IGUNGA

Walimu walala jikoni kwa miaka mitatu! KATIKA hali ya kusikitisha, walimu wa Shule ya Msingi Iyogelo iliyoko katika kata ya Kining’inila Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamekuwa wakiishi jikoni ...

SEMINAR YA UJASIRIAMALI YAENDELEA CHUO KIKUU CHA SAUT TABORA

SAUT TABORA  Semina ya ujasiriamali ambayo ilianza toka jana hapa Tabora leo yafikia siku ya pili na mwisho, wanafunzi wengi wa chuo hiki wamejitokeza kuhudhuria seminar hii muhimu kwa vijana amb...

MWAKA WA TATU SAUT TABORA (AMUCTA) WATAHARUKI WAKATI WAKISAINI BOOM LEO

>>  WASHANGAA KUKOSEKANA KWA FEDHA ZA RESEARCH >> MUGO AKOSA LA KUSEMA Leo hii wanafunzi wa Chuo kikuu cha Mt. Augustino tawi la Tabora (AMUCTA) wamesaini tayari kwa kupata bo...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item