hatimaye miss 2011/12 tabora apatikana




huyu ndiye Flora Michael miss tabora
2011
Kile kinyang'anyiro cha kumpata miss vodacom tanzania kwa mkoa wa tabora kilifikia tamati juzi kwenye ukumbi wa royal gadern ambapo mshiriki na.9 kutroka chuo kikuu cha mtakatifu Augustino (SAUT) tawi la tabora Flora Michael aliibuka kidedea na kutwa taji hilo la u-miss kwa mkoa huu kwa mwaka huu. ilikuwa ni fainali iliyopamba moto ambapo washiriki wote walionesha ukomavu wa hali ya juu, hakika washiriki walijiandaa vyakutosha na hii ilisababisha kila mmoja kujiamini. lakini paomja na kujiamini kote kwa washiriki wengine bado mwakilishi poekee kutoka SAUT aliibuka kidedea, hakika fainali hizi zilipambwa na wasnii kibao kutoka dar akiwemo beka, amini, steve r&b na wengineo wengi waliohudhuria sherehe hizo.hata hivyo waliozipamba sherehe hizi ni pamoja na wanafunzi wa chuo kikuu walioenda kump[a kampani mwanafunzi mwenzao katka kuhakikisha antwa taji hilo muhimu kwa chuo, katkia fainali hizo mshindi alipata taslimu sh.300000/- na laptop yenye thamani ya tsh laki saba, mshindi wa pili alipata laki tatu na computer desktop ya thamani ya laik tano na nusu, na mshindi wa tautu alipata dvd eck na subwoofer ya jumla ya tsh laki mbili na nusu na tsh laki tatu, hata hivyo sherehe hizo zilfaana sana japokuwa kulikuwa na fujo za hapa na pale, pia baada ya kutangazwa mshindi wa tatu na pili chuo cha utumishi wa umma walitoka wote ukumbini na kuwaacha wana SAUT kwani waliamini FLORA ndiye miss.

hapa chini baadhi ya picha za siku hiyo.

mkurugenzi mtendaji wa blog hii akiwa
amepozi akishuhudia mashindano
bw. meshack jackson a.k.a sir meja


sir meja na ticha wakishangilia mwingine ni
GEORGE


baadhi ya wanafunzi wa SAUT wakishangilia


kama kawa sherehe zilizidi kusonga mbele


flora michael akiwa ametangazwa kama mshindi akiwaslimia watu pembeni ni ndugu yake HAPPINESS na GRACE


baadhi ya waliohudhuria sherehe hizi

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item