rais kikwete na Rais Museveni Waongoza Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya UDSM

hapa chini ni baadhi tu ya matukio ya maadhimisho hayo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiingia katika ukumbi wa Nkurumah kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangua kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Fulgence Kazaura na kulia ni Makamu mkuu wa chuo hicho profesa Rwekaza Mukandala.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za kilele cha kuadhimisha miaka hamsini 50 ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam zilizofanyika katika ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es Salaam  jana mchana.
Picha na Freddy Maro .

Post a Comment

1 comment

un chapter amucta said...

HERI VIONGO WA AFRIKA LILINDENI NA KULITETEA BARA LETU

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item