TAMTHILIYA YA EDEN HAZARD KUMALIZIKA JUNE,2

Mchezaji wa Lille ya ufaransa Mbeligiji Eden Hazard anatarajiwa kuweka wazi msimamo wake ni wapi atakapo elekea, hii ni baada ya tamthiliya yake isiyoisha tokea mwanzo mwa mwaka huu. mchezji huoy ambaye ana waniwa na timu kubwa uingereza ambazo ni CHELSEA, MAN CITY NA MAN UTD amekuwa gumzo kubwa hivi karibuni kutokana na yeye binafsi kuwa yupo kwenye kiwango cha juu na timu zote zinamtaka kwa udi na uvumba.
wengi wanatabiri kuwa huenda akaelekea STAMFORD BRIDGE baada ya Chelsea kutwaa ubingwa wa UEFA Champions na pia alishasema anapenda kuvaa jezi ya blue. lakini bado wengine wakadai kuwa huenda akachezea ETIHAD STADIUM kama atataka hela maana City wanauezo wa kumpa hela anayohitaji. Lakini watu wengi wanaipa nafasi MAN UTD kwa maana yeye mwenyewe alishakaririwa akisema kuwa anapenda OT, na anapenda angecheza Old Traford . SWAALI NI TIMU GANI ITAMNYAKUA??????

jibu la swali litafika mwisho mnamo tarehe 2, mwezi wa sita baada ya yeye HAZARD kucheza na England mechi ya kimataifa, na baada ya mechi atatangaza rasmi kuwa anaelekea wapi/




huyu ndiye Eden Hazard

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item